Header Ads

Header ADS

Sudani ya rejea AU

Umoja wa Afrika (AU), umeirejeshea Sudan uanachama wake iliyokuwa imesimamishwa kwa miezi mitatu ikisubiriwa kuunda Serikali ya mpito ya kiraia kufuatia kuondolewa madarakani kwa aliyekuwa Rais wa muda mrefu wa nchi hiyo, Omar al-Bashir.
Mwezi Agosti mwaka huu, jeshi na vyama vya kiraia pamoja na viongozi wa maandamano walitia saini mkataba wa miaka mitatu wa kugawana madaraka na kumteua Abdalla Hamdok kuwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo.Baada ya kuchaguliwa Hamdok aliunda baraza la mawaziri siku ya Alhamisi ambalo ni la kwanza tangu mwezi Aprili alipoondolewa madarakani Omar al 

No comments

Powered by Blogger.