Kanusho la ajira batili kutoka Wizara ya Afya Jinsia, Wazee na Watoto
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto inakanusha Tangazo linalosambaa mitandaoni kuwa imetoa ajira mpya kwa vijana 700 wa Tanzania za uelimishaji namna ya uchangishaji damu na ukusanyaji wa damu vijijini.
1 comment
Habar, kama mimi nmetoka kufanya maombi jana Tangazo la ukanusho naona leo, kwa hiyo tumese hilo tangazo halipo kabisa maana nmetoa hadi pesa shiling elf 10
Post a Comment