Klabu ya Pamba SC imemtambulisha Fred Felix Minziro kuwa Kocha Mkuu.
Fred Felix Minziro amechukua nafasi ya aliyekuwa kocha mkuu katika Klabu ya Pamba SC ambaye alijiuzulu Muhibu Kanu.
Ambapo msaidizi wa Minziro atakuwa Ally Kisaka aliyekuwa Kocha mkuu wa Pamba SC msimu uliopita Kabla ya kujiunga na Pamba ya Mwanza, Minziro alikuwa kocha mkuu wa Singida United.
Ambapo msaidizi wa Minziro atakuwa Ally Kisaka aliyekuwa Kocha mkuu wa Pamba SC msimu uliopita Kabla ya kujiunga na Pamba ya Mwanza, Minziro alikuwa kocha mkuu wa Singida United.
Hata hivyo Kocha huyo amekuwa akisaidia mara kadhaa katika kupandisha vilabu kutoka daraja la kwanza hadi ligi kuu lakini hata hivo amekuwa hana maisha marefu ligi kuu.
No comments
Post a Comment