Header Ads

Header ADS

Tanzania imesaini mkataba wa ununuzi wa Ndege mpya aina ya Bombardier Q400

     Tanzania imeweka makubaliano na kampuni ya kutengeneza ndege kutoka nchini Canada kuhusu ununuzi wa ndege mpya inayotarajia kuwasili nchini ifikapo June 2020,ndege hiyo aina yaBombardier Q400,yenye uwezo wa kubeba abiria 78.
     Ambapo makubaliano hayo yamefanyika na kusainiwa leo jumamosi Oktoba 19,2019 kwa dhumuni la kuboresha na kuimarisha huduma za usafiri wa anga nchini kupitia Shirika la Ndege Tanzania ATCL.











    Dk Benjamin Ndimila ambaye ni Mtendaji mkuu wa Wakala wa Ndege za Serikali,amesema ndege hiyo itakua na uwezo wa kutua hata kwenye viwanja vya vumbi.
    

No comments

Powered by Blogger.