Wanafunzi wa Chuo cha GROSSAL INSTITUTE TRAINING COLLEGE MAKAMBAKO.Watembelea hifaddhi ya wanyama Ifisi Mbeya
Wanafunzi wa Chuo cha GROSSAL INSTITUTE TRAINING COLLEGE [GITC] Kilichopo Makambako Mkoani Njombe wamefanya ziara ya kimasomo kwenda kujifunza kwa Vitendo Sifa na tabia za Viumbe hai pori iliwepo wanyama ,Ndege pamoja na Mimea katika hifadhi ya Wanyama ya Ifisi ZOO.Iliopo Mbeya .
Wanachuo wakiwa wanaangalia baadhi ya wanyama waliokuwepo mbali kidogo na eneo la zoo.
Ni baadhi ya Wanachuo wakipiga picha Mbuni [Ostrich] aliyekuwa amezungushiwa kwenye banda.
Huyu ni Mbuni au Ostrichi aliyopo kwenye hifadhi hiyo.
Wanafunzi wanapata maelekezo kwa na mmoja wa viongozi wa hifadhi [zoo[ hiyo.
Wanafunzi wakiwa wameshika na kuangalia kwa makini yai la Mbuni au Ostrich..
Fisi akiwa kwenye banda linalopatikana ndani ya hifadhi [zoo] hiyo.
Ikumbukwe kuwa Chuo cha GITC, kinapatikana Makambako Mkoani Njombe katika Mtaa wa Goligota,Pia chuo kinatoa kozi mbalimbali kama vile
.TOURISM & WILDLIFE MANAGEMENT
.HOTEL MANAGEMENT & FRONT OFFICE SERVICE
JOURNALISM & MASS COMMUNICATION
SECRETARIAL COURSE
.COMPUTER APPLICATION STUDIES
Pia chuo kinahostel kwa wanachuo wanaotoka mbali
Mawasiliano ya chuo ni
simu :0762624906
Email :grossalinstitutetrainingc@gmail.com
No comments
Post a Comment