Header Ads

Header ADS

Wanusurika Kifo baada ya Kulishwa Biskuti Zenye Dawa za Kulevya

Abiria wawili waliokuwa wakisafiri na basi la Buti la Zungu kutoka Dar es Salaam kwenda Mtwara wamenusurika kifo baada kula biskuti zinazodaiwa kuwa na Dawa ZaKulevya wakiwa ndani ya basi hilo

Abiria hao ni Dadi Rashid (49) ambaye ni Afisa Elimu Taaluma wa Utete, Wilaya ya Rufiji na Omary Burian (27) mfanyakazi wa Bodi ya Korosho Dar es Salaam
-
Kaimu Mganga Mfawidhi Hospitali ya Sokoine Mkoani Lindi, Idrisa Chande amethibitisha kuwapokea wagonjwa hao jana usiku wakiwa hawajitambui na kwamba wanaendelea na matibabu hospitalini hapo 

No comments

Powered by Blogger.