Header Ads

Header ADS

Yanga yaporomoka hadi kufikia nafasi ya 18

 KMC imeanza kujiondoa kwenye nafasi za hatari baada ya ushindi wa hapo jana ikiwa na pointi sawa na Biashara United pamoja na Mbeya City huku Yanga ikishuka hadi nafasi ya 18 ikiwa bado ina 'viporo' sita. Huu hapa msimamo wa ligi baada ya mechi mbili za leo.


Na huku msimamo wa ligi kuu unaendelea kama ifuatavyo Simba ikiwa bado wanaendelea kuongoza kwa pointi 21 huku Yanga wakiwa na pointi 7.




No comments

Powered by Blogger.