GROSSAL INSTITUTE TRAINING COLLEGE
GROSSAL INSTITUTE TRAINING COLLEGE.
P.O.BOX,369 MAKAMBAKO -NJOMBE
Email:grossalinstitutetrainingc@gmail.com
TELL:0762624906.
Mkuu wa Chuo cha GITC MAKAMBAKO.Anatangaza nafasi za Masomo kwa kozi zifuatazo
. TOURISM & WILDLIFE MANAGEMENT
. HOTEL MANAGEMENT & FRONT OFFICE SERVICES
. JOURNALISM & MASS COMMUNICATION
. COMPUTER APPLICATION
. NURSERY SCHOOL TEACHING
. SECRETARIAL COURSE
Chuo kipo Makambako Mkoa wa Njombe
Chuo kina Hostel kwa Wanachuo wanaotoka mbali kwa gharama nafuu zaidi
Fomu za kujiunga na Chuo zinapatikana Chuoni Makambako kwa sh,15,000/=
Kwa mawasiliano zaidi piga Simu :0762624906 Au Tutumie kupitia barua pepe anuani ya
Email:grossalinstitutetrainingc@gmail.com
No comments
Post a Comment