Baba Mt. Francis amemteua Askofu Ludovick Joe Minde, kuwa Askofu mpya Jimbo la Moshi. Kabla ya uteuzi huo alikuwa Askofu wa Kahama.
Jimbo Moshi limekuwa wazi tangu Desemba 27, 2017 wakati aliyekuwa Askofu wake, Isaac Amani Massawe alipoteuliwa kuwa Askofu Mkuu, Jimbo la Arusha .
No comments
Post a Comment