Header Ads

Header ADS

Tamko La THBUB Maadhimisho Ya Siku Ya Haki Za Binadamu Duniani Desemba 10, 2019


 
TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORAKitalu Na. 339, Mtaa wa Nyerere - KilimaniS.L.P 4019, DODOMASimu: +255 22 2135747/8; 2137125; 2135222Faksi: +255 22 2111281Barua Pepe:info@chragg.go.tzTovuti: www.chragg.go.tzDesemba 10, 2019
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Tamko la THBUB wakati wa maadhimisho ya Siku yaHaki za Binadamu Duniani, Desemba 10, 2019
Leo Desemba 10, 2019 Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB)inaungana na wadau wa haki za binadamu ulimwenguni kote kuadhimisha miaka71 ya Azimila Ulimwengla Haki za Binadamu
(Universal Declaration for  Human Rights)
.Desemb101948 BarazKula Umojwa MataiflilipitishAzimio laUlimwengu la Haki za Binadamu ambalo linaainisha haki za msingi za binadamu.Azimio hili linatoa mwongozo kwa Serikali na jamii duniani kote kuhakikishakuwa zinaheshimu, zinalinda na kukuza haki za binadamu kama zilivyoainishwakatika mikataba mbalimbali ya kikanda na kimataifa.Katika maadhimisho ya mwaka huu kitaifa kauli mbiyetinasema:
 Maadili katika utumishi wa umma ni nguzo muhimu katika kuimarisha utawala bora nahaki za binadamu.
Tumya Haki za Binadamu na UtawalBora inatambukuwa maadili yaviongozi, watendaji na watumishi katika utumishi wa umma ndiyo muhimili mkuu
Page 1 of 4
 
wa kuzingatia hifadhi ya haki za binadamu na wajibu kwa jamii kwa mujibu waKatiba na Sheria.Kwa msingi huoTHBUB inawaasa watumishi wa ummkuzingatia haki za binadamu na misingi ya utawala bora katika utekelezaji wa majukumu yao. Piainawahimiza wananchi na watumishi wa umma kuwasilisha malalamiko Tume pindi waonapo haki zao za msingi zimeingiliwa au kuvunjwa na viongozi auwatendaji katika utumishi wa umma kwa kutumia madaraka kinyume cha Sheria.Kimataifa maadhimisho hayyamebeba kauli mbiisemayo:
Vijana piganieni haki za binadamu (Youth standing up fohumarights).
Kaulmbiu hiiinatambua wajibu na nafasi ya vijana katika kuhakikisha kuwa haki za binadamuzinaheshimiwna kufurahiwa na watwotduniani. Aidha, inawahamasishakuzipigania haki hizo pale ambapo hazipatikani.Hivi sasa duniani kote tunashuhudia vijana wakipaza sauti zao wakipigania hakimbalimbali, zikiwemo haki ya usawa, haki ya kufanya kazi, haki ya kushirikikatika kufanya maamuzi na haki nyinginezo nyingi.Tume inapenda kuwakumbusha wananchi na hususan vijana kutimiza wajibu waowa kutii na kuheshimu sheria za nchi na kutumia mifumo na njia sahihi katikakudai hakina kuepuka kutumika na watu wasiolitakia mema taifletuilikudumisha amani na utulivu wa nchi yetu.Tanzania inatambua na kuthamini uwezo na mchango wa vijana katika kuletamaendeleo endelevu ya taifa, na hili linadhihirishwa na kauli maarufu isemayo
‘vijana ni nguvu kazi ya taifa.’
 Aidha, zipo jitihada mbalimbali za Serikalizinazolenga katika masuala ya maendeleo ya vijana nchini; hii ikiwa ni pamoja nakuwepo kwa mifumo, sera, mipango na mikakati inayokidhi mahitaji mbalimbali
Page 2 of 4
 
ya vijana kama vile Sera ya Taifa ya Maendeleo ya Vijana ya mwaka 2007 yenyelengo la kuhakikisha taifa linakuwa na vijana wenye uwezo, wenye ari ya kutosha,wanaowajibika na wanaoshiriki kikamilifu katika nyanja zote za kijamii, kisiasa nakiuchumi.Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora inaipongeza sana Serikali kwa jitihada hizi. Lakini pamoja na jitihada hizo, bado zipo changamoto kadhaaambazo wadambalimbali hususavijana wanakumbannazozikiwemokufahamika kwa mifumo, mikakati, fursa, upatikanaji na utolewaji wa taarifa kwavijana, upatikanaji wa mikopo, na uelewa mdogo juu ya sera hiya Maendeleoya Vijana ya mwaka 2007.Hivyo basi, Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora inaziomba mamlakahusika, Serikali na wadau mbalimbali kutoa elimu ya kutosha kuhusu uwepo wafursa mbalimbali kwa maendeleo ya vijana na wasimamizi kuhakikisha fursa hizozinatolewa kwa usawa, kwa vijana wote bila ubaguzi. Na hii itasaidia kuepushavurugu na ukosefu wa amani na utulivu katika taifa letu.Aidha, Tume inaendelea kuwahimiza Wananchi kuwasilisha malalamiko yao kwataasisi husika na pale wanapoona wametendewa kinyume na sheriana paleambapo wataona kuna usumbufu au malalamiko yao hayashughulikiwi ipasavyowasisite kuwasilishmalalamiko kwkuiandikia Tumau kufika kwenyemojawapo ya ofisi zake zilizopo Dodoma – Makao Makuu ya Tume (Mtaa wa Nyerere, Ploti Na. 339 eneo la Kilimani,) au Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) - jengo la Taaluma la Chuo cha Elimu ya Biashara na Sheria. Pia katika ofisi zakezilizoko Zanzibar ( Unguja na Pemba), Dar es Salaam, Mwanza na Lindi.
Page 3 of 4

Mhe. (Jaji

No comments

Powered by Blogger.