Header Ads

Header ADS

Matokeo Ya Kidato Cha Nne na Pili 2019- FORM FOUR RESULTS 2019

Matokeo Ya kidato Cha Nne na Pili 2019
Baraza la Mitihani la Taifa (Necta) nchini Tanzania limetangaza matokeo ya mtihani wa upimaji darasa la nne, kidato cha pili na kidato cha nne.

Katika matokeo hayo yaliyotangazwa leo Alhamisi Januari 9, 2020 na Katibu Mtendaji wa Necta, Dk Charles Msonde amesema ufaulu katika mtihani wa upimaji wa darasa la nne umeongezeka kwa asilimia 26.21.


Jumla ya watahiniwa 1,531,120 kati ya wanafunzi 1,665, 863 wamepata alama A,B,C na D ikilinganishwa na wanafunzi 1,213, 132 waliofaulu mwaka 2018.


Katika mtihani wa upimaji kidato cha pili, wanafunzi 514,251 sawa na asilimia 90.04 kati ya wanafunzi 571,137 wamefanya vizuri katika mtihani huo na kuwawezesha kuingia kidato cha tatu.



Dk Msonde amesema mtihani wa kidato cha nne jumla ya watahiniwa 340,914 sawa na asilimia 80.65 ya watahiniwa 422,722 wameefaulu mitihani yao.

Watahiniwa hao ni sawa na ongezeko la asilimia 1.38 ikilinganishwa na watahiniwa 284,126 sawa na asilimia 79.27 waliofaulu mtihani huo mwaka 2018.


FORM TWO AND FORM FOUR EXAMINATION RESULT 2019

Summary of NECTA’s History

After Tanzania Mainland had pulled out of the East African Examinations Council, in 1971 and before NECTA was established by Law, in 1973, the Curriculum and Examinations Section of the Ministry of Education was responsible for all examinations. With the establishment of NECTA, the Examinations became its responsibility in accordance with the law. The Curriculum continued to be under the Ministry of Education and the University College, Dar es Salaam until when it was taken over by the newly established, autonomous Institute of Curriculum Development (ICD) in 1975, which in 1993 was renamed as the Tanzania Institute of Education (TIE).


BOFYA LINK HIZI KUTAZAMA MATOKEO


Between 1972 and 1976 the first staff of NECTA were recruited, among them was Mr. P. P Gandye who was recruited in 1972 and later on in 1994 was appointed as Executive Secretary. The other staff members continued to be recruited and especially so when NECTA’s premises moved from the Ministry of Education Headquarters to the present premises at Kijitonyama near Mwenge. Presently the number of NECTA’s staff is more than 250.

No comments

Powered by Blogger.