Michezo Bara;Kagera suger 1-0Yanga.
Dakika ya 44 Mo Banka anapewa kadi nyekundu baada ya kupewa kadi mbili za njano, ya kwanza alionyeshwa dakika ya 26 kwa kumchezea rafu Adalah Siseme na ya pili alionyeshwa dakika ya 44 kwa kumchezea rafu Kelvin Sabato
Kagera Sugar wanatangulia kupata bao la kwanza dakika ya 13 kupitia kwa Yusuph Mhilu baada ya beki wa Yanga kujichanganya kuokoa hatari
Katika UWANJA wa Uhuru kwa sasa mchezo unaondelea ni kati ya Yanga na Kagera Sugar.
Mashabiki wamejitokeza kwa wingi kuona burudani na ushindani wa ligi ambayo inazidi kuchanja mbunga.

No comments
Post a Comment