Rais Magufuli Afanya Mabadiliko Madogo Katika Baraza La Mawaziri
Rais Magufuli Amefanya Mabadiliko Madogo Katika Baraza La Mawaziri
Rais Magufuli amemteua Mussa Azzan Zungu kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira.
Rais Magufuli amemteua George Simbachawene kuwa Waziri wa Mambo ya ndani akichukua nafasi ya Kangi Lugola.
Raisi Magufuli ametengeua uteuzi wa Kamishina Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Thobias Andengenye na nafasi yake itajazwa baadaye. Rais ameagiza TAKUKURU waufanyie uchunguzi mkataba uliosainiwa na Kampuni ya nje ya Nchi na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji.
Rais Magufuli amemteua John Steven Simbachawene na Faustine Kasike kuwa Mabalozi na vituo vyao vitatangazwa baadaye.
Rais Magufuli amemteua Meja Jenerali Jacob Kingu kuwa Balozi. Kabla ya uteuzi huu wa leo, Jenerali Kingu alikuwa Katibu wa Wizara ya Mambo ya Ndani mpaka jana Januari 22,2020 ambapo aliandika barua ya kujuizulu nafasi hiyo na Rais akakubali ombi lake.
Rais Magufuli amewaongezea muda wa miaka 2 Mabalozi 7.
George Madafa (Italy)
George Masima (Israel)
Emmanuel Nchimbi (Brazil)
Asha Rose Migiro (Uingereza)
Benedict Mashiba (Malawi)
Silvester Mabumba (Comoro)

No comments
Post a Comment