Rais Magufuli alivyowasili Zanzibar
Rais waJamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli amewasili kisiwani Zanzibar kwa ajili ya kuanza ziara yake kisiwani humo pamoja na kuhudhuria Sherehe za miaka 56 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt,John Pombe Magufuli akisalimiana na Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Baloz Seif Ali Idi mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Aman Abeid Karume tayari kwa kuanza ziara yake ya siku mbili pia kuhudhuria Sherehe za miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt,John Pombe Magufuli akisalimiana na Viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Aman Abeid Karume tayari kwa kuanza ziara yake ya siku mbili pia kuhudhuria Sherehe za miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt,John Pombe Magufuli akiangalia Ngoma za Utamaduni mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Aman Abeid Karume tayari kwa kuanza ziara yake ya siku mbili pia kuhudhuria Sherehe za miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
No comments
Post a Comment