Header Ads

Header ADS

Wanafunzi wa Chuo cha Grossal Institute Training College wafanya ziara ya kujifunza kwa Vitendo Kivutio cha Mto Kiganga uliopo Makambako Mkoani Njombe

Ikiwa ni kawaida kwa Chuo hicho cha GITC MAKAMBAKO.Kutembelea Vivutio vilivyopo Ndani ya Mkoa wa Njombe na hata Vivutio vilivyopo Nje ya Mkoa ,Leo wanachuo hao wamefanya ziara kutembelea kivutio cha Mto Kiganga uliopo Makambako Mkoani Njombe na kuweza kujifunza mambo mengi ikiwepo kujifunza mimea mbalimbali pamoja na miti ya asili ,kwa wanafunzi anao somea Utalii .




























        Wanachuo wa Chuo cha Grossal Institute Training College wakiwa wamepiga picha ya pamoja katika Mto wa Kiganga .Pia wanafunzi hao wakati wa kiwa wanaongea na  Machweo Communication News ,Wamesema wanafurahia kusomea kozi ya Utalii Katika Chuo Hicho kwa sababu chuo kimekuwa kikijitahidi sana kufundisha ususani kwa vitendo na wanafunzi wamefurahi sana kufika katika Mto huo ambao ni Moja ya Kivutio cha Utalii Mkoani Njombe.

     




























  Ni baadhi ya wanafunzi wakiwa juu ya jiwe kubwa wakiteta kitu kuhusiana na masomo yanayohusu mimea kiujumla [Botany]




























  Ni jiwe liliopo katikati ya mto na Msitu wenye miti ya asili.




























       Ni Mawe makubwa yaliyopo ndani ya Mto huo.




























      Ni moja ya popo ambaye amepigwa picha akiwa kwenye Pango.


   




























Ni baadhi ya wanafunzi wakiwa kwenye maporomoko ya maji ya Mto huo.





























         Ni wanafunzi wakiwa wanafurahia kwenye pango ambalo halivujishi mvua ila chini maji yanapita.

No comments

Powered by Blogger.