Askari watatu wa Jeshi la Polisi Mkoani Njombe wamefariki dunia na wengine sita kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha magari matatu ikiwemo gari la polisi ambalo lilikuwa likipeleka askari Lindoni. RPC Njombe Hamis Issa amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo.
No comments
Post a Comment