Header Ads

Header ADS

Rais Magufuli amewaapisha Viongozi aliowateuwa hivi karibuni.

   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akishuhudia Jaji Kiongozi akimuapisha akimuapisha Bi. Shamira S. Sarwat kuwa Msajili wa Mahakama Kuu katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam 















      Hata hivyo,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli amewaapisha Bi. Zena A. Saidi kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Nishati,Profesa Riziki S. Shemdoe kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara,   Bw. Christopher Kadio kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Dkt. Hassan Abbas kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ,Bi. Mary G. Makondo kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Bw. Stephen Mashauri kuwa Katibu Tawala wa mkoa wa Ruvuma, Bw. Leonard R. Masanja kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati 
  Pia amewapisha   Bi. Mary G. Makondo kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ,Bw. Kelvin Mhina kuwa Msajili wa Mahakama ya Rufani ,Jaji Dkt. Gerald Ndika kuwa Kamishna wa Tume ya Mahakama ya Utumishi wa Mahakama,  Wakili Genoveva M. Kato kuwa Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Mahakama,Wakili Julius K. Bundala kuwa Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Mahakama , Brigedia jenerali Suleiman M. Mzee kuwa Kamishna jenerali wa Magereza, Brigedia jenerali Suleiman M. Mzee kuwa Kamishna jenerali wa Magereza.
 Aidha Rais John Pombe Magufuli amempandisha cheo    DCP John Masunga kuwa Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji.

No comments

Powered by Blogger.