Rais Magufuli na mkewe mama Janeth Magufuli washiriki ibada ya Jumatano ya majivu katika kanisa la mtakatifu Petro jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipakwa majivu na Paroko wa Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay Padre Dkt. Alister Makubi wakati wa Ibada ya Jumatano ya Majivu jijini Dar es salaam leo Februari 26, 2020.
Mama Janeth Magufuli, Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipakwa majivu na Paroko wa Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay Padre Dkt. Alister Makubi wakati wa Ibada ya Jumatano ya Majivu jijini Dar es salaam leo Februari 26, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, akiongozana na mkewe Mama Janeth Magufuli, akipakwa majivu na Paroko wa Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay Padre Dkt. Alister Makubi waliposhiriki Ibada ya Jumatano ya Majivu jijini Dar es salaam leo Februari 26, 2020.
No comments
Post a Comment