Header Ads

Header ADS

Waziri Simbachawene ameanza ziara ya kutembelea Taasisi za Jeshi la Polisi.

   Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akimfafanulia jambo Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP),Simon Sirro, leo February 19, 2020 wakati wa mazungumzo ya Utendaji Kazi kwa Jeshi la Polisi Nchini.
 
Hivyo,Simbachawene ameanza ziara ya kuzitembelea Taasisi mbalimbali za Wizara hiyo.
 

No comments

Powered by Blogger.