GROSSAL INSTITUTE TRAINING COLLEGE.Tangazo la masomo
Mkuu wa Chuo cha Grossal Institute Training College, kilichopo Makambako Mkoani Njombe anatangaza nafasi za Masomo kwa mhula mpya kwa kozi zifuatazo.
.TOURISM & WILDLIFE MANAGEMENT.
.HOTEL MANAGEMENT & FRONT OFFICE SERVICES
.NURSERY SCHOOL TEACHING.
.JOURNALISM & MASS COMMUNICATION.
.COMPUTER APPLICATION STUDIES .
. VIDEO PRODUCTION.
. SECRETARIAL COURSE
Pia chuo kinatoa huduma za hostel kwa Wanachuo wanaotoka mbali kwa gharama nafuu zaidi
Chuo cha GITC MAKAMBAKO ,Ni Chuo pekee Nyanda za juu kusini kinachofanya vizuri na kina waandaa vyema wanachuo wanaohitimu kwaajili ya kuweza kuajiliwa na kuweza kumudu katika hali ya ushindani wa ajira ndani na hata nje ya Nchi kwani tunajali sana mwanachuo kujifunza kwa vitendo zaidi .
kwa mawasiliano jinsi ya kujiunga na Chuo unaweza kupiga simu namba
0762624906 au Barua pepe
grossalinstitutetrainingc@gmail.com S.L.P,369, MAKAMBAKO -NJOMBE
Fomu za kujiunga na Chuo zinapatikana Chuoni Makambako kwa sh 15000/=Tu
Nyote mnakaribishwa

No comments
Post a Comment