Header Ads

Header ADS

GROSSAL INSTITUTE TRAINING COLLEGE.Tangazo la masomo

Mkuu wa Chuo cha Grossal Institute Training College, kilichopo Makambako Mkoani Njombe anatangaza nafasi za Masomo kwa mhula mpya kwa kozi zifuatazo.
 .TOURISM & WILDLIFE MANAGEMENT.
 .HOTEL MANAGEMENT & FRONT OFFICE SERVICES
 .NURSERY SCHOOL TEACHING.
.JOURNALISM & MASS COMMUNICATION.
.COMPUTER APPLICATION STUDIES .
. VIDEO PRODUCTION.
 . SECRETARIAL COURSE

Pia chuo kinatoa huduma za hostel kwa Wanachuo wanaotoka mbali kwa gharama nafuu zaidi
Chuo cha GITC MAKAMBAKO ,Ni Chuo pekee  Nyanda za juu kusini kinachofanya vizuri na kina waandaa vyema wanachuo wanaohitimu kwaajili ya kuweza kuajiliwa na kuweza kumudu katika hali ya ushindani wa ajira ndani na hata nje ya Nchi kwani tunajali sana mwanachuo kujifunza kwa vitendo zaidi .
  kwa mawasiliano jinsi ya kujiunga na Chuo unaweza kupiga simu namba
               0762624906   

               au Barua pepe
               grossalinstitutetrainingc@gmail.com  

               S.L.P,369, MAKAMBAKO -NJOMBE
   Fomu za kujiunga na Chuo zinapatikana Chuoni Makambako kwa sh                               15000/=Tu
                   Nyote mnakaribishwa

002
151
008

No comments

Powered by Blogger.