Changamoto za kiufugaji ni nyingi ila zisikukatishe tamaa ukifuata kanuni na taratibu za Ufugaji unaweza ukasahau kabisa kama kuna changamoto hizo. Moja wapo ya kitu cha muhimu kwa kuku wako ni chanjo, chanjo ni kitu muhimu ili kuwafanya kuku wapo wasipatwe na magonjwa hatari kama mdondo( mdonde) , Ndui nk.Pia ni moja kati ya vitu vya muhimu kwa kuku vitakavyofanya ufuge kwa amani na kusahau changamoto.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments
Post a Comment