Header Ads

Header ADS

Waandamanaji wachoma moto kituo cha Polisi Nchini Marekani

   Maandamano yaliosababisha ghasia za Mineapolisi zilizosababisha srikali ya jimbo hilo kupelekea kikosi cha kitaifa cha ulinzi yalienea hadi katika majimbo mengine huku mamia ya watu wakiandamana katika jimbo la California, Chicago, Memphis , New York , Okaland , Ohio na Colorado.

Protesters in front of a police station in Minneapolis, Minnesota. Photo: 28 May 2020
Kumekuwa na ghadhabu za 'i cant breath'{Siwezi kupumua} nchini Marekani kuhusu kifo cha Mmarekani huyo mweusi baada ya kukamatwa na polisi.
Na kufuatia maandamano hayo, Denver Capitol ilifungwa kwa dharura baada ya mtu mmoja kuwafyatulia risasi waandamanjiijapiokuwa kulingana na maafisa wa polisi hakuna majeraha yalioripotiwa.
Mamlaka ya LouisVille, Kentucky ilithibitisha kwamba takriban watu saba walijeruhiwa mmoja wao akiwa katika hali ya mahututi , wakati wa ufyatuaji mwengine wa risasi.
Wakati huohuo , takriban watu 40 walikamatwa wakati wa maandamano yaliosambaa katika eneo lote la kusini mwa Manhatta, kulingana na mamlaka

No comments

Powered by Blogger.