Header Ads

Header ADS

Wizara ya Maliasili na Utalii imewasimamisha kazi Watumishi Wanne


      Katibu Mkuu  Wizara ya Maliasili na Utalii ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Utalii, Deogratius Mdamu na kumsimamisha kazi Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa wizara, Flora Masami kutokana na mapungufu na ubadhirifu mkubwa kwenye Mfuko wa Maendeleo ya Utalii (TDL).

No comments

Powered by Blogger.