Header Ads

Header ADS

Mkutano Mkuu wa Halmashauri kuu ya CCM ,wapitisha majina matatu ya ugombea Urais Zanzibar


Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM  umepitisha majina matatu ya wagombea Urais wa Zanzibar, ambao ni ;

1.Dk Khalid Salim Mohamed,
2. Dkt Hussein Ali Mwinyi na 
3. Shamsi Vuai Nahodha.
Mkutano bado unaendelea ambapo litapendekezwa jina moja kati ya hayo matatu. Endelea kuwa nasi ili kupata kinachojili

No comments

Powered by Blogger.