Header Ads

Header ADS

Tundulisu alipowasili uwanja wa Ndege na kupokelewa na WanaChadema,Ndugu na Marafiki

    Makamu Mwenyekiti wa  Chadema- Bara Tundu Antiphas Lissu,  amewasilia nchini  leo Jumatatu tarehe 27 Julai 2020.
Lissu amewasilia nchini Tanzania akitokea Ubelgiji kwa ndege ya Shirika la Ethiopia na kupokelewa na viongozi wa Chadema, ndugu, jamaa na marafiki katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam.

No comments

Powered by Blogger.