Tangazo la Masomo ya Chuo
Chuo cha Grossal Institute Training College kilichopo Makambako Mkoani Njombe kinatangaza nafasi za Masomo kwa wa hitimu wote wa kidato cha nne na kuendelea kwa kozi zifuatazo.
Kozi zinazotolewa Chuoni ni Pamoja na .
.JOURNALISM & MASS COMMUNICATION
.TOURISM & WILDLIFE MANAGEMENT
.HOTEL MANAGEMENT & FRONT OFFICE SERVICES
.COMPUTER APPLICATION STUDIES
.VIDEO PRODUCTION
.NURSERY SCHOOL TEACHING
.INFORMATION TECHNOLOGY [IT].
.TOUR GUIDE & TOUR OPERATOR ADMINISTRATION
.BUSINESS ADMINISTRATION
.Pia Chuo kinatoa huduma za hustel za kisasa kwa gharama nafuu zaidi kwa wanachuo wanaotoka mbali na Chuo .
.Fomu za kujiunga na Chuo zinapatikana Chuoni Makambako Mkoa wa Njombe Kwa sh 15,000/= Tu.
kwa Mawasiliano zaidi tupigie simu namba
0762624906 Au
Email.grossalinstitutetrainingc@gmail.com
P.O.BOX 369 MAKAMBAKO
No comments
Post a Comment