Tetesi za soka Ulaya Jumapili 27.09.2020: Aouar, Rice, Rudiger, Fati, Torreira, Kante
Lyon itataka euro milioni 50 sawa na pauni milioni 46 kwa makubaliano yoyote
yanayomhusisha kiungo wa kati wa Ufaransa Houssem Aouar, 22, baada ya kukataa
ofa ya Arsenal ya euro milioni 36. (RMC Sport)
No comments
Post a Comment