ANGALIA HAPA MAJINA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO 2022, VYUO
Wanafunzi 153,219 wakiwemo wasichana 67,541 na wavulana 85,678 sawa na asilimia 91.8 ya wenye sifa, wamechaguliwa kujiunga na Shule za sekondari Kidato cha Tano, Vyuo vya Ualimu na Vyuo vya Elimu ya Ufundi mwaka, 2022.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Nchi OR -TAMISEMI Innocent Bashungwa wakati akitangaza matokeo ya uchaguzi wa wanafunzi wa kujiunga na kidato cha tano, vyuo vya ualimu na vyuo vya elimu ya ufundi mwaka 2022.
“Muhula wa kwanza kwa wanafunzi wa kidato cha tano utaanza tarehe 13 Juni, 2022. Hivyo, wanafunzi wote wanapaswa kuanza kuripoti katika shule walizopangiwa kuanzia tarehe 13 Juni, 2022. Siku ya mwisho ya kuripoti itakuwa tarehe 30 Juni, 2022,” Waziri Bashungwa.
Students selected to join form five and Technical Colleges 2022/23 academic year -Wanafunzi Waliochaguliwa kujiunga na Kidato Cha Tano mwaka wa masomo 2022/2023, Vyuo vya Elimu, Vyuo vya Ufundi.
OFISI YA RAIS - TAMISEMI
UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA KATI, 2022
BOFYA HAPA KUONA ORODHA YA WANAFUNZI WALIOPANGWA KWENDA SHULE MOJA
CHAGUA MKOA ULIKOSOMA
ARUSHA | DAR ES SALAAM | DODOMA |
GEITA | IRINGA | KAGERA |
KATAVI | KIGOMA | KILIMANJARO |
LINDI | MANYARA | MARA |
MBEYA | MOROGORO | MTWARA |
MWANZA | NJOMBE | PWANI |
RUKWA | RUVUMA | SHINYANGA |
SIMIYU | SINGIDA | SONGWE |
TABORA | TANGA |
No comments
Post a Comment