BALOZI KILANGI AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO KWA RAIS WA BRAZIL
Balozi wa Tanzania nchini Brazil, Mhe. Prof. Adelardus Kilangi akiwasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Brazil, Mhe. Jair Bolsonaro wakati wa hafla iliyofanyika hivi karibuni katika Ofisi za Rais za Palacio Do Planalto zilizopo Brasilia, Brazil
Mhe. Rais Bolsonaro akionesha Hati za Utambulisho za Mhe. Balozi Kilangi mara baada ya kuzipokea wakati wa hafla iliyofanyika hivi karibuni katika Ofisi za Rais za Palacio Do Planalto zilizopo Brasilia, Brazil
Mhe. Balozi Kilangi akiwa katika mazungumzo na Mhe. Rais Bolsonaro mara baada ya kuwasilisha hati zake za utambulisho
Mhe. Balozi Kilangi akiwa na Mhe. Rais Bolsonaro
No comments
Post a Comment