Header Ads

Header ADS

Waandishi wa habari wapingwa mawe na mizimu Mkoani Arusha

 Katika hali isiyo ya kawaida Waandishi wa Habari kutoka vyombo vya habari mbalimbali Mkoani Arusha wametimuliwa kwa kupigwa na mawe ambayo hayajulikani yanapotokea katika kijiji cha Kiwawa kata ya Imbasei wilayani Arumeru Mkoani Arusha

Inaelezwa kuwa waandishi hao wamekumbwa na masahibu hayo baada ya kufika kwenye eneo hilo kwa lengo la kufuatilia taharuki ya wananchi kupigwa kwa mawe yanayohisiwa kurushwa na Mizimu.






No comments

Powered by Blogger.