Header Ads

Header ADS

Nyani wavamia nyumba na kupokonya mtoto mchanga Kigoma

  

Kundi la nyani wa hifadhi ya Gombe iliyopo kijiji cha Mwamgongo wilayani Kigoma, limevamia nyumba ya Shayima Faya (20) na kumpokonya mtoto mchanga wakati akimnyonyesha na kutokomea naye porini ambapo baadaye mtoto huyo alifariki dunia.

Akizungumza leo Jumatatu Juni 20, 2022 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma, James Manyama amesema tukio hilo limetokea Juni 18, 2022 katika kijiji hicho.

 

No comments

Powered by Blogger.