Polisi Dar waanza uchunguzi kifo cha mtoto Kimara Temboni
Jeshi la polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema linaendelea na uchunguzi wa kifo cha mtoto wa miaka nane mkazi wa Kimara Temboni aliyekutwa amepoteza maisha chumbani kwake akiwa amelala pamoja na kumshikilia dada wa kazi kwa mahojiano.
Jeshi hilo pia limewatahadhalisha watu ambao hupenda kutoa taarifa zisizo za uchunguzi juu ya masuala mbalimbali.


No comments
Post a Comment