Header Ads

Header ADS

Rais wa Zanzibar Dr , Mwinyi amemuapisha Mkurugenzi Mkuu mpya wa ZAECA,

  RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha  Bw,Ali Abdalla Ali kuwa Mkurugenzi Mkuu wa ZAECA ,aliyemteuwa hivi karibuni hafla hiyo imefanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 08/09/2022.

Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto)  alipokuwa akimkabidhi Vitabu Nd.Ali Abdalla Ali, ikiwa ni muongozo  katika utekelezaji wa kazi zake   mara baada ya kumuapisha kuwa Mkurugenzi Mkuu wa ZAECA,katika hafla iliyofanyika leo  Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 08/09/2022. 

Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimkabidhi Hati ya kiapo Nd. Ali Abdalla Ali mara baada ya kumuapisha kuwa Mkurugenzi Mkuu wa ZAECA,hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 08/09/2022. 

Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisisitiza jambo leo alipokuwa akizungumza na Viongozi mbali mbali (hawapo pichani) waliohudhuria katika hafla ya kumuapisha Nd. Ali Abdalla Ali  kuwa Mkurugenzi Mkuu wa ZAECA,hafla iliyofanyika  Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 08/09/2022.

No comments

Powered by Blogger.