Header Ads

Header ADS

Jukwaa la Biashara la Tanzania na India (TIBF) kuimarisha mahusiano ya kibiashara

 Jukwaa la Biashara la Tanzania na India (TIBF) kuimarisha mahusiano ya kibiashara Jukwaa la Biashara la Tanzania na India (TBIF) limedhamiria kukuza mahusiano ya kibishara baina ya nchi hizo mbili kwa kuchochea ushirikiano katika sekta za kilimo, afya, teknolojia na

nishati.

Katika kutekeleza hilo, TBIF kwa kushirikiana na wadau wa kibiashara nchini, Taasisi ya Sekta Binafsi (TPSF), wamefanya kikao maalum cha kumkaribisha Spika wa Bunge la Wananchi wa India, Mhe. Om Birla, Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) Angelina Ngalula akiongea viongozi wa kibiashara, makampuni binafsi na wageni waalikwa katika mkutano maalum wa kumkaribisha Spika wa Lok Sabha kutoka India Mhe. Om Birla aliyenchini kwa ziara ya kuendeleza mahusiano ya kibiashara baina ya Tanzania and India. Tukio hilo lilifanyika January 19 jijini Dar es Salaam. nchini Tanzania kwa ziara maalum akiambatana na wajumbe wa bunge, katika kukuza mahusiano baina ya Tanzania na India.

Balozi wa India nchini Tanzania Mhe. Binaya Srikanta Pradhan, Mwenyekiti wa TPSF Angelina Ngalula, Meja Jenerali (Mstaafu) Hamis Semfuko na viongozi wengine wa kibiashara, wawakilishi wa makampuni binafsi nchini walihudhuria kikao hicho.Spika wa Bunge la Wananchi wa India (Lok Sabha) Mhe. Om Birla akitoa neno kwa viongozi wa kibiashara, makampuni binafsi na wageni waalikwa wakati wa mkutano maalum wa kumkaribisha, katika ziara yake nchini ya siku tatu. Spika huyo ameambatana na wajumbe wa bunge katika kukuza mahusiano ya kibiashara na Tanzania. Pembeni yake ni Balozi wa India nchini Tanzania Mhe. Binaya Srikanta Pradhan. Kikao hicho kilifanyika January 19 jijini Dar es Salaam.
Balozi wa India nchini Tanzania, Mhe. Binaya Srikanta Pradhan akiongea na akiongea na viongozi wa kibiashara, makampuni binafsi na wageni waalikwa katika mkutano maalum wa kumkaribisha Spika wa Bunge la Wananchi wa India (Lok Sabha) kutoka India Mhe. Om Birla (kushoto )aliye nchini kwa ziara ya kuendeleza mahusiano ya kibiashara baina ya Tanzania and India. Tukio hilo lilifanyika January 19 jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) Angelina Ngalula akiongea viongozi wa kibiashara, makampuni binafsi na wageni waalikwa katika mkutano maalum wa kumkaribisha Spika wa Lok Sabha kutoka India Mhe. Om Birla aliyenchini kwa ziara ya kuendeleza mahusiano ya kibiashara baina ya Tanzania and India. Tukio hilo lilifanyika January 19 jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Kampuni ya  Kamal Group Sameer Santosh, akifurahia kukabidhiwa zawadi y a ua katika mkutano maalum wa kumkaribisha Spika wa Bunge la Wananchi wa India (Lok Sabha) kutoka India Mhe. Om Birla (kushoto )aliye nchini kwa ziara ya kuendeleza mahusiano ya kibiashara baina ya Tanzania and India. Tukio hilo lilifanyika January 19 jijini Dar es Salaam.
 
Wajumbe wa Taasisi ya Sekta Binafsi(TPSF),Jukwaa la Biashara baina ya Tanzania na India (TBIF) viongozi wa kibiashara, wawakilishi wa makampuni binafsi na wageni waalikwa katika picha ya pamoja na Spika wa Bunge la Wananchi wa India, Mhe. Om Birla (Wa sita kutoka kushoto), baada ya kikao cha kumkaribisha kilichofanyika jijini Dar es Salaam January 19. Spika huyo yupo nchini katika ziara maalum ya kukuza mahusiano ya kibiashara baina ya Tanzania na India.


No comments

Powered by Blogger.