Header Ads

Header ADS

Chadema wafurika Mapokezi ya Mwenyekiti Freeman mbowe uzinduzi wa mikutano ya hadhara Makambako Njombe

 





 Chama cha Demokrasia na Maendeleo [CHADEMA] Chaendelea na Uzinduzi wa Mikutano ya hadhara katika maeneo mbalimbali ya Nchi .Leo 27 /02/ 2023 .Wananchi na Wanachama wa Chadema  katika Mji  wa Makambako wamejitokeza kwa wingi katika mapokezi ya Mwenyekiti Taifa Freemani Mbowe  ya uzinduzi wa Mikutano ya hadhara

    Akizungumza Mbele ya umati uliojitokeza Mh.Freeman Mbowe amesema Mikutanao ya hadhara ni nafasi ya kuzungumza mstakabali wa Nchi 

 

No comments

Powered by Blogger.