Header Ads

Header ADS

Wapenzi wa jinsia moja hawana nafasi Uganda



Bunge la Uganda limepitisha sheria mpya ambayo itawafanya watu wanaojitambulisha kuwa wapenzi wa jinsia moja kuwa ni kosa na unaweza kutumikia kifungo cha miaka 10 jela.

Musa Ecweru, Mbunge wa Wilaya ya Amuria, alihutubia wabunge, akisema wapenzi wa jinsia moja "hawatakuwa na nafasi nchini Uganda".

No comments

Powered by Blogger.