CHADE .Makambako Mkoani Njombe wafanya Mkutano wa hadhara
Mkutano Mkubwa uliohudhuliwa na maelfu ya watu katika Viwanja vya Soko kuu Makambako Mkoani Njombe ,Chama cha Demokrasia na Maendeleo kupitia kwa Mwenyekiti wa Kanda Mh.Peter Msingwa kimeendelea kufanya mikutano ya hadhara kiwa ni pamoja na kutoa elimu kwa wanachama pamoja na wananchi kwa ujumla ya kuendelea kukiamini na kukipa nafasi ya kuongoza serikali za Mitaa katika Uchaguzi wa Mwakani 2024 katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Peter Msingwa ,ameongeza kwa kusema kuwa Mfumo wa kodi kupitia TRA ,siyo rafiki kwa Wafanyabiashara,
No comments
Post a Comment