Header Ads

Header ADS

MWANAFUNZI AUAWA AKIMUOKOA MWEZAKE ASIBAKWE

 Mwanafunzi wa kidato cha pili  wa Sekondari ya Nyasubi Mkoani  Shinyanga ,Ally Jacob , ameuawa baada ya juchomwa na kichomwa na kitu chenye ncha kali  shingoni  alipokuwa akijaribu  kumuokoa mwanafunzi mwenzake asibakwe .
    Tukio hilolilitokea juzi saa 9:00,Alasiri maeneo ya Nyasubi Wilaya ya Kahama Mkoani Shinyanga  wakati akiwa akirejea Nyumbani kutoka Shuleni.
   
Powered by Blogger.