MWANAFUNZI AUAWA AKIMUOKOA MWEZAKE ASIBAKWE
Mwanafunzi wa kidato cha pili wa Sekondari ya Nyasubi Mkoani Shinyanga ,Ally Jacob , ameuawa baada ya juchomwa na kichomwa na kitu chenye ncha kali shingoni alipokuwa akijaribu kumuokoa mwanafunzi mwenzake asibakwe .
Tukio hilolilitokea juzi saa 9:00,Alasiri maeneo ya Nyasubi Wilaya ya Kahama Mkoani Shinyanga wakati akiwa akirejea Nyumbani kutoka Shuleni.
Tukio hilolilitokea juzi saa 9:00,Alasiri maeneo ya Nyasubi Wilaya ya Kahama Mkoani Shinyanga wakati akiwa akirejea Nyumbani kutoka Shuleni.
1 comment
Peoples power
Post a Comment