RIDHIWANI KIKWETE KAWEKA HII PICHA YA MBOWE NA KUYAANDIKA HAYA MANENO HAYA MAZITO KUHUSU MBOWE MDA HUU
Ni stori ambayo imechukua headline kwa mwenyekiti wa chama cha
Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowejana Aug 10 2015 baada ya
kumaliza harakati za kumsindikiza Edward Lowassa kuchukua fomu ya Urais
kwenye tume ya taifa ya uchaguzi, alipelekwa hospitali baada ya kupata
kizunguzungu kikubwa.
.
Sasa leo Agosti 11, 2015 Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete ambae ni
mtoto wa Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete kupitia
kwenye ukurasa wake wa twitter ameandika ujumbe wa pole kwa mwenyekiti
huyo baada ya kuumwa ghafla.
‘Afya ni Muhimu kuliko jengine lolote. Pole sana Mwenyekiti kwa kuumwa
ghafla. Wagombea na wapiga debe tupime afya’ – Ridhiwani Kikwete.
No comments
Post a Comment