VIGOGO CCM ARUSHA WATIMKIA CHADEMA
MWENYEKITI wa chama cha Mapinduzi [CCM] Mkoani Arusha ,Onesm Ole Nangole na Katibu waItikadi nauenezi wa mkoa huo,Isack Joseph,wamekihama chama hicho nakujiunga na chama cha Democrasia na Maendeleo Chadema.
Ole Nangole na Joseph ,walifikia uamuzi huo jiji Arusha na kusema kwa nyakati tofauti wamelazimika kuchukua uamzi huo kwa kuwa utaratibu wa kumpata mgombea wa chama cha CCM, ulikiukwa,kw ujibu wa chama

No comments
Post a Comment