MKURUGENZI WA JIJI LA MWANZA ANUSURIKA KICHAPO KWA WALIMU
Walimu kutoka Wilaya ya Nyamagana wavamia Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza kwa madai ya kulimbikizwa mishara yao ikiwanipamoja na upandishaji wa Madaraja na hela za Uhamishwa wa Walimu kutolipwa. Wakisungumza jiji Mwanza Walimu hao wa meonyesha kukatishwa tamaa.
No comments
Post a Comment