Header Ads

Header ADS

MGOMBEA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KWA TIKETI YA CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] DOCTOR JONH MAGUFULI

   Akihutubia ktk  viwanja vya Polisi Mjini Makambako ,amewaahidi wananchi kuwa endapo watampa ridhaa la kuiongoza nchi atatekeleza vipaumbele vifuatavyo.
 
     .Kushughulikia kero za Maji ktk Mji wa makambako
     .Kuboresha Hosipili ya mji wa Makambako ikwa ni pamoja na kuweka vifaa kwaajili ya upasuaji kwa wakina mama.
    .Ataongezea kilomita 6 za Barabara ktk  Mji wa Makambako.
    Shule kuanzia Darasa la Kwanza hadi Kidato cha NNE itakuwa bure endapo atapita
     Kwa upande Mwingine Magufuli amesema endapo atapata ridhaa atahakikisha kila kata inapata mkopo wa sh.150 milion.
     Pia amesema anaombawananchi wachague CCM  Madiwani  ,Wabunge  na Rais Iliawezekufanya kazi vizuri.

No comments

Powered by Blogger.