Header Ads

Header ADS

Wananchi katika mji wa kibiashara mjini Makambako Mkoani Njombe wananunua ndoa ya maji kwa sh 500 /= Wakizungumza na Waandishi wa Habari

  Wameilalamikia Serikali kwakutotimiza ahadiza maji kwani maji ni uhai wa kila binadamu
     Kerohii ya maji inawafanya wamama na vijana kuacha nyumba zao nakufuata maji  umbali wa kilometa nyingi na kuacha kulala hukuwakiamka saa tisa kwaajili ya kuwekaforeni huku wakinunua kwa sh 500/=
     Mwananchi mmoja ambaye hakutaka jinalake kufahamika mbele ya umma  alisikika akisema serikali ya awamu ya nne ikiongozwa na Mbunge Deo Sanga [CCM] Ilizuia mradi wa Maji  kutoka kipengele na Ikuna ambao ulifadhiriwa na shirika la mission [Roman Katoriki]

No comments

Powered by Blogger.