Header Ads

Header ADS

LOWASSA ATAKA SERIKALI TATU

 Hatimaye Mgombea Urais kwa tiketi ya chama  cha Democrasia na Maendeleo Chadema kupitia UKAWA ,amezungumza kuundwa kwa katiba mpya itakayokuwa na Serikali Tatu itakayoipa Zanzibar mamlaka kamili.
        Lowassa amekuwa hazungumzii suala lakatiba mpya ,ambayo mchakato wake ulisababisha kuzaliwa kwa UKAWA , unaoundwa na  na Vyama vya Chadema, CUF,NLD,NCCR-Mageuzi.
      Vinavyodaikuwa CCM ilipuuza maoni ya Wananchi ,ambayo nipamoja  na kutaka muundo wa Muungano uwe waserikali tatu. Akizungumza kwenye  Uwanja wa  Tanganyika  Packers jijini Daressalaam  mapema wiki hii, Lowassa alidokezakidogo kuhusu mchakatoalipo mtaka  mwanasheria mkuu wa Chadema,Tundulisu,John Mnyika kumuachia suala la Katiba Mpya alisema linataka utulivu na kwamba atalishughulikia.

No comments

Powered by Blogger.