MWENYEKITI ACT WAZALENDO ATIMKIA CHADEMA
MWENYEKITI wa Chama cha ACT WAZELENDO Wilaya ya Bariadi Mkoani Simiyu DEBOLA KITURI .Amekihama chama hicho na kujiunga na Chadema. kiongozi huyo alijiunga na chama hicho juzi mkoani hapa kwenye uzinduzi wa kampeni mgombea Ubunge Jimbo la Bariadi
No comments
Post a Comment