Ukawa watumia kauli za kinana kuichongea CCM kwa wananchi.
Ziara ya Mgombea Mwenza wa Uraisi wa Chama cha Democrasia na Maendeleo [Chadema] kupitia Umoja wa Katiba Ya Wananchi [Ukawa] . Juma Dini Haji.Imeingia mkoani Tanga huku viongozi walio kwenye msafara wake wakiwakaanga wagombea ubunge wa CCM , kwakauli ya Katibu mkuu wa chama hicho. Abdulrahman Kinana aliyesema chama chake kimejaa wizi ,wanafiki, na majambazi.
Kinana alitamka maneno hayo alipo zungumza kwenye mkutano wa hadhara mjini moshi mkoani kilimanjaro.
Kinana alitamka maneno hayo alipo zungumza kwenye mkutano wa hadhara mjini moshi mkoani kilimanjaro.
No comments
Post a Comment