TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI .
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Busega anapendakuwatangazia Watanzania wote wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Halmashauri ya Wilaya ya Busega kuomba nafasi zifuatazo.
DEREVA [nafasi 3]
SIFA ZA MUOMBAJI
.Elimu ya kidato cha nne[iv]
.Lesseni daraja C ya uendeshaji pamoja na uzoefu wakuendesha magari usiopungua
miaka mitatu [3].
.Cheti cha Majaribio ya Ufundi DarajaII.
UMRI.
.Mwombaji awe naumri usio pungua miaka 18 na usiozidi miaka 45
.MAELEZO YA JUMLA
Maombi yote yawasilishwe yakiwayameambatanishwa na CV Pamoja na nakala za
vyeti vya kuhitimu Elimu na mafunzo.
MAOMBI YOTE YATUMWE KWA ANWANI IFUATAYO
MKURUGENZI,
HALMASHAURI YA WILAYA,
S.L.P,157,BUSEGA.
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 25/09/2015 Saa9:30 Alasiri

No comments
Post a Comment