Header Ads

Header ADS

Kingunge Apanda Jukwa na kumnadi Lowassa Asema CCM Imeishiwa Pumzi

  Mwanasiasa Kikongwe na miongoni mwa waasisi wa chama cha Mapinduzi CCM ,Kingunge Ngombale Mwiru jana alihutubia  katika jukwaa la Kampeni za Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA  na kusema chama Tawala [CCM] Kimeishiwa Pumzi .
     Katika mkutano wa kumnadi mgombea uraisi kwa tiketi ya CHADEMA  [UKAWA] Edward Lowassa  katika viwanja vya  Sinoni mkoani Arusha.

No comments

Powered by Blogger.